fbpx

Select Page

JINSI YA KUFUNGUA KAMPUNI YA UJENZI, CIVIL NA ELECTRICAL

JINSI YA KUFUNGUA KAMPUNI YA UJENZI, CIVIL NA ELECTRICAL

Kwanza kabisa wenye mamlaka ya kusajili makampuni ni Brela. Cha kuzingatia ni kwamba; Protocals, requirements na procedures za kufungua makampuni ni zilezile bila kujali ni aina gani ya biashara unayotaka.

Sasa utofauti ni kwenye kupata vibali na leseni ya biashara husika. Ambavyo hutafutwa baada ya kusajili kampuni. 

Kujua vigezo kwa contractor inakusaidia hekima ili usije ukafungua kampuni lakini ukakwama kupata leseni. Vibali na Classes kwa contractors inatolewa na CRB.

Ili kampuni yako iweze kupata leseni kwenye eneo la Ujenzi, Civil na Electrical inatakiwa Mmoja wenu awe amesomea jambo husika.

kama ni umeme awepo aliyesomea umeme au kama ni Ujenzi au electrical basi miongoni mwenu awe mmoja wenu ambaye amesomea fani husika pia.

Minimum qualification ya elimu ni Level 3 au Class One (kwa mfumo wa zamani). Hayo ndio mambo ya msingi ya kuzingatia ili usije ukakwama kupata vibali kutoka CRB.

Kama unataka kuwa contractor bila kufungua kampuni basi itatakiwa usajili business name brela. Kwa mtu binafsi mwenye business name ukomo wa classes ni class seven hadi class six tu kwa mtu binafsi (kwenye ujenzi, civil na electrical). Hivyo ndio vitu vya kuzingatia kama ukitaka kuwa contractor.

SASA BASI; Kwa ajili ya kampuni (yoyote); ili Brela wasajili kampuni yako,  Mambo yanayohitaji ni kama ifuatavyo;

 • 1. Namba ya kitambulisho cha taifa(NIDA)
 • 2. TIN number zenu
 • 3. Minimum Muwe wawili (pia zaidi inaruhusiwa)
 • 4. Pesa ya kusajilia
 • 5. Memorandum and Articles of Assocation iliyopigwa mhuri na mwanasheria.

KWA BUSINESS NAME vinavyohitajika ni

 • 1. namba ya Nida
 • 2. namba ya simu
 • 3. email
 • 4. P. O. Box
 • 5. Location (ya ofisi  na unapokaa)

SIKU UKIHITAJI KUSAJILI JINA AU KAMPUNI

Tunafanya consulting (kusaidia) kusajili Kampuni au business name yako brela kwa HARAKA NA UFANISI zaidi. Hivyo siku ukihitaji usisite kututafuta. Whatsapp link ni BOFYA HAPA kuchat nasi moja kwa moja via whatsapp

KAZI YA UPANDE WETU NI

 • Kuandaa Memorandum and articles of association
 • Mwanasheria
 • kujaza forms zote zinazotakiwa
 • na kufanya application online
 • KWA HARAKA NA UFANISI ZAIDI

Mawasiliano

About The Author

Ibrahim Nzunda

Ibrahim Nzunda is Self-Employed Owner & CEO of Jimz Technologies Company LTD which he Co-Founded and registered in 2015-Tanzania. He Graduated in 2016 with B.Sc Agronomy at Sokoine University of Agriculture

Leave a Reply

Subscribe

Share This