fbpx

Select Page

JINSI YA KUFUNGUA KAMPUNI NA MAHITAJI YAKE

JINSI YA KUFUNGUA KAMPUNI NA MAHITAJI YAKE

kama unataka kufungua kampuni KWA HARAKA NA UHAKIKA au kama unampango wa kufungua kampuni; basi ujue nirahisi sana na inachukua siku mbili hadi tano tu kukamilisha usajili na kujipatia kampuni yako. Wala sio lazima uwe na mtaji ili uwe na kampuni. Na wanaohusika kusajili kampuni ni serikali kupitia BRELA

Tunafanya consulting (kusaidia) kusajili Kampuni au business name yako brela kwa HARAKA NA UFANISI zaidi. Hivyo ukihitaji usisite kututafuta. Whatsapp link ni BOFYA HAPA kuchat nasi moja kwa moja via whatsapp

KAZI YA UPANDE WETU NI

  • Kuandaa Memorandum and articles of association
  • Mwanasheria
  • kujaza forms zote zinazotakiwa
  • na kufanya application online
  • KWA HARAKA NA UFANISI ZAIDI

MAHITAJI

Sasa basi, kwa limited company inatakiwa muwe wawili au zaidi ili kufungua kampuni.
1. Namba za vitambulisho vya taifa (Bila namba ya kitambulisho huwezi kusajili)
2. Namba za simu 
3. Emails
5. Business location (mahali ambapo unategemea ofisi itakuwepo/ilipo)
6. Pesa ya kukamilisha usajili.
7. Locations za shareholders (wamililiki)

Mambo mengine kama Kuandaa Memorandum and Articles of Association zinatakiwa kuandaliwa na kupigwa mhuri wa mwanasheria.

Hivyo basi, namba 1 na 6 ndio vya muhimu zaidi. hayo mengine ni mambo ya kuulizawa wakati uneandelea na hatua za usajili.

NB: SISI SIO MAWAKALA WA BRELA > Tunachofanya ni kukusaidia usajiliwe kampuni yako na Brela.

  • Tuwasiliane
  • 0625992014 (call/text/whatsapp)
  • info@kingbest.co.tz
  • info@wajasiriamali.co.tz

About The Author

Ibrahim Nzunda

Ibrahim Nzunda is Self-Employed Owner & CEO of Jimz Technologies Company LTD which he Co-Founded and registered in 2015-Tanzania. He Graduated in 2016 with B.Sc Agronomy at Sokoine University of Agriculture

Leave a Reply

Subscribe

Share This